Jake served as a teacher and principal in the Haldimand area for 35 years before retiring in 1988....
Salim Ahmedy
Salim Ahmed | |
---|---|
Gabo—2018 | |
Amezaliwa | Salim Ahmed Issa (1983-06-06)Juni 6, 1983 Muheza, Tanga, Tanzania Muheza |
Jina lingine | Gabo Zigamba |
Kazi yake | Mwigizaji, mwigizaji wa sauti, mtunzi wa filamu, mwongozaji, mtayarishaji |
Miaka ya kazi | 2008- |
Ndoa | Latifa Babla Ivan (Tiffany Stores) (2020) |
Watoto | 4 |
Salim Ahmedy Issa (amezaliwa Muheza, Tanga, 6 Juni1983) ni mwigizaji, mwongozaji, mwandishi na mtayarishaji wa filamu kutoka nchini Tanzania.[1] Anafahamika zaidi kwa jina lake la kisanii kama Gabo Zigamba.
This article describes the major challenges facing evaluators and public administration researchers interested in the practice.
Salim amekuwa akisifika kwa umahiri wake katika kuzishika nyusika tofauti. Anafahamika zaidi kwa kucheza filamu ya Big Surprise, Danija, Siyabonga, na nyingine nyingi. Pia ameonekana katika mifululizo ya runinga maarufu kama vile Jua Kali, Kapuni na Baba Olivia.
Maisha ya awali
[hariri | hariri chanzo]Salim alianza elimu ya msingi mnamo 1992 hadi 1998 katika shule ya Iringa Wilolesi. Baadaye sekondari katika shule y